Wednesday, 4 August 2010

ASANTE KWA PRECISION AIR WADHAMINI WA FIESTA 2010 JIPANGUSE

jimmy jams akifanya mahojiano  na rubani wa ndege ya precision  AAloyce Laizer (Masaai), ni rubani wa kwanza mwenye asili ya kimasai yaani hata lafudhi yake ni ya kimasai .BIG UP SANA BRO


crew nzima ya wahudumu wa precision saffiiiiiii

No comments:

Post a Comment