EVENTS GALLARY


hafla ya Mwanamke yafana vilivyo ndani ya serena hotel jijini dar

Muandaaji wa Sherehe ya siku ya Mwanamke yenye mlengo wa kuadhimisha siku ya wanawake Duniani,Shamim Mwasha akizungumza machache wakati wa hafla hiyo iliyofana kwa kiasi kikubwa usiku wa kuamkia leo kwenye hoteli ya Serena,Jijini Dar es Salaam
MC wa Hafla hiyo,Dada Regina Mwalekwa akimtambulisha,Shamim Mwasha ambaye ni Muandaaji wa Sherehe ya Mwanamke yenye mlengo wa kuadhimisha siku ya wanawake Duniani iliyofanyika usiku wa kuamkia leo kwenye hoteli ya Serena,Jijini Dar es Salaam.