Ze fulanazzz ya lady jaydee
Lady Jaydee akiwa na mai hazbendi wake gadna G. habash wakionesha ze fulanazzz maalumu kwa ajili ya kusherehekea miaka 10 ya manamuziki huyu hodari ambayo kilele chake kitakuwa ijumaa hii pale Mzalendo Pub Millenium Towers jijini Dar kwa onesho litaloenda sambamba na uzinduzi wa albamu ya kwanza ya Machozi Band.
No comments:
Post a Comment