fiesta jipanguse 2010 yawakuna vilivyo wakazi wa tanga,
hamkomi nanyi Kiroboto na wadau . i can see Ancle Rama Serengeti boiy
yeraa kimpera mperaa "msichana mtundu yuko Tanga nini" KARIBU kwenye shoo za Jo masongee njoo utibu mtima wange Wapi bata kwani namtaka wakitanga nyama ya mbele ni tamu ya nyuma inamafuta FID bro slow down Dozen nae achagua bata! MACHOZI TEMBA NA CHEGGE King of afternoon shows now making it to nigth dah! I ddnt no wa mbagala wanan'ya ivi TIPTOP Wadau maelezo ya picha zote naomba mniwie radhi mida mida hivi ntarejea kukamilisha kila kitu,lakini kwa sasa tupate taswira nzima ya tamasha la Fiesta Jipanguse lilivyokuwa ndani ya uwanja wa mkwakwani usiku huu.
No comments:
Post a Comment