Saturday, 24 July 2010

Muda mfupi uliopita nilihudhururia party moja iliyoandaliwa na JAYGONGA pale maeneo ya Posta nyuma ya club Billicanaz namaanisha Much More, na kama unavyoona juu hapo mtu mzima Frank Gonga akichukuwa matukio na Camera yake.

Sio Frank tu hata wadau wengine walikuwepo, hapa nilimfumania Michael Mlingwa aka MX akichukuwa matukio nae yakuweka kwa website yake ya Babkubwa.

Wengine walikuwa wakiwajulisha marafiki kwa njia ya Facebook kwamba kwa mda huo wanapatikana mahali hapo.

Mguu wa Valeur huu hapa ukiwa umetupiwa vitu vyake, Usipimeeeeeeeee

Nimegundua kitu, ule mziki wa alanji kama ukipigwa na wewe maumbile yako ya nyuma kama mungu ajakujalia basi unaweza kutikisa hata mabega na mambo yakanoka au unabishaaaaa.

y, July 23, 2010
Dj Venture alikuwepo ndani ya party hii.


Party ilikuwa full kunoga, samahani kuna picha sijaziwekea majina ni sababu zilizopo nje ya uwezo wangu kwasababu nimeambiwa kuna wengine wanasumbuliwa sumbuliwa.

No comments:

Post a Comment