Wimbo bora wa asili Tanzania Shangazi ulienda kwa msanii wa vichekesho Mpoki
Wimbo bora wa RnB Nikikupata ulienda kwa msanii Ben Pol
TUZO ALIZOCHUKUWA 20% NI
1. Tuzo ya wimbo bora wa Afro Pop – Tamaa Mbaya
2. Tuzo ya mtunzi bora wa nyimbo
3. Tuzo ya mwimbaji bora wa kiume
4. Tuzo ya wimbo bora wa mwaka
5. Tuzo ya msanii bora wa muziki wa kiume
Wimbo bora wa Hip Hop Karibu Tena ulienda kwa msanii Joh Makini
Mwimbaji bora wa kike tuzo ilienda kwa Lady JD
Mtayarishaji bora wa nyimbo Lamar
Wimbo Bora wa Kushirikisha/Kushirikishwa tuzo ilienda kwa JCB na Jay Moe
Wimbo Bora wa Reggae, What u Feel Inside - Hardmad
Kushoto ni msanii Bonta, JayMoe, Ksingo, Nikki wa Pili na Ruben
No comments:
Post a Comment