Watch Redsan at the Varsity Night Launch

Club Maisha ya Jijini Dar es salaam, leo usiku itatoa burudani maalumu kwa ajili ya wanafunzi wa Vyuo vikuu na elimu ya Juu inayotambulika kama 'Varsity Night' huku ikitarajiwa kusindikizwa na wakali mbalimbali wa muziki akiwemo wa Kimataifa toka nchini Kenya, Swabri Mohammed aka Redsan.
No comments:
Post a Comment