Mr. Blu atua India tayari kwa makamuzi usiku huu...Hydrabad
Msanii Mkali wa Bongo Flava Mr. Blue ametua India leo tayari kufanya show tatu kali, ataanza na Hyderabad, Bangalore na atamalizia Mysore.....
Kwa wale ambao huwa wanamsikia tu Blue mnatakiwa mkajionee huyu jamaa hajawahi kujaribu,
huwa anafanya show kali na aina yake....
Dont miss......
Kwa wale ambao huwa wanamsikia tu Blue mnatakiwa mkajionee huyu jamaa hajawahi kujaribu,
huwa anafanya show kali na aina yake....
No comments:
Post a Comment