Wesley Snipes kwenda Jela miaka 3..

Ni Yule jamaa aliyecheza zile movie za Blade.. juzi kati kaukumiwa kwenda jela miaka 3 kwasababu za kutokulipa kodi za mapata…. Jamaa anadaiwa zaidi ya Billion 15 za kibongo… Ila kuna kampuni ya simu imejitokeza na kutangaza kumuokoa mshkaji… kwa kumlipia kodi anazodaiwa na kumpa milioni kumii juu… anachotakiwa kufanya ni kuiruhusu kampuni hiyo itengeneze game itakayomuusisha Wesley kama vile yupo jela..!!
No comments:
Post a Comment