Dr Dre Featuring Collie Buddz, Akon & Snoop Dogg "Kush" (Remix)

Kushhhhhh….. imekuwa Tushhhh…. Nazani wote tunaijua ngoma ya Dr. Dre inayoitwa kush…. Sasa pala wanaposema Kushhhh pamekuwa Tushhhhh ni baada ya kumtupia Collie Buddz pale kati… humo ndani anakwambia mimi napenda kitu cha mjani kama navyopenda chakula…saa nyingine nakuwa najiisi kama vile mimi superman….
No comments:
Post a Comment