Uti takes the Big Brother Africa All stars price duuh!
Uti toka Nigeria akifurahia ushindi wake wa Big Brother Africa All Stars usiku huu huko Sauzi
Munya toka Zimbabwe akikubali matokeo ya kuwa wa pili kwa saluti kali Mwakilishi wa Tanzania Mwisho Mwampamba akihojiwa na mshereheshaji Ike baada ya kushika nafasi ya nne Mwisho akitoka katika mjengo wa Big Brother baada ya kuibuka wa nne
No comments:
Post a Comment