UCHAGUZI NI WAKO
Hatuoni HatusikiiTunadanganyika kirahisi
Tunafuata mkumbo
BAADAE TUNALALAMIKA !!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
makazi yetu
shule zetu vijijini
WAO WAKICHAGULIWA.........
Office za bunge
Kuna cha kuongeza?
Sasa tucheze na hesabu 6,900,000/= kwa mbunge mmoja,zidisha mara miezi 12 then zidisha kwa miaka 5 = 414,000,000/= jumlisha 50,000,000/= anayopewa mara baada ya kumaliza miaka 5 = 464,000,000/= kwa mbunge mmoja.
464,000,000/= siko tayari kuzidisha fedha hii mara wabunge wote kwa miaka 5,calculator yangu itachanganyikiwa alafu niingie gharama ya kununua nyingine
No comments:
Post a Comment