yanga oye! yaipiga simba 3-1 na kutwaa ngao ya hisani
Rais wa TFF Sir Leodegar Chilla Tenga na Mkurugenzi wa Masoko wa Vodacom TAnzania Ephraim MAfuru wakimkabidhi ngao ya hisani nahodha wa Yanga Fred Mbuna baada ya vijana hao wa Jangwani kuwatungua Wekundu wa Msimbazi, Simba, bao 3-1 jioni hii neshno hapa Dar katika mchezo wa ngao ya hisani. Dakika 90 ngoma ilikuwa droo 0-0 ndipo ikaja mikwaju ya penati ambapo Yanga walitia kimiani mitatu na kipa wa Simba Ally Mustafa Barthez aliokoa mbili. Simba walikosa mikwaju mitatu, moja walopaisha na kipa wa Yanga Yao Berko toka Ghana akafuta moja
Makamu Mwenyekiti wa Yanga Davies Mosha akijidai na ngao ya hisani ambayo vijana wake wameipata kwa kuwafunga watani wao wa jadi 3-1
Yanga Imara - Daima mbele, nyuma mwiko
aiayayayaaaaaaa yayayayayaaaaaaaa
Mashabiki wa Sima wanadai
ati mgonjwa kaanza kunywa uji....
No comments:
Post a Comment