MISS EAST AFRICA 2010 RANDA SHELBY TOKA ERITREA AKISHEREHEKEA BAADA YA KUTAWAZWA WIKIENDI HII LONDON
WASHINDI WA MR & MISS EAST AFRICAN 2010. MSHINDI WA MR EAST AFRICA NI DAWGGIE TOKA ETHIOPIA WAREMBO FYAH SISTER FIRST LADY URBAN PULSE'S WASHIRIKI KATIKA GWARIDE LA UFUNGUZI 7. WASHUNDANI WAKIWA KATIKA MAVAZI YA KITAMADUNI TOKA KUSHOTO- URBAN PULSE MANAGING DIRECTOR BARAKA BARAKA,TV PERSONALITY SPORAH NJAU,LANDLADY LUCY NA YOUNG MOOGS
URBAN PULSE'S PRINCESS ORDAIN NA YOUNG JOSH WAKIFUNIKA KUNDI LA UTAMADUNI TOKA ZIMBABWE
No comments:
Post a Comment