JK akisalimiana na Ruge Mutahaba ambaye ni kiongozi wa Nyumba ya Vipaji (THT) ambaye yuko Dodoma na wasanii nyota kibao ambao watatumbuiza wikiendi hii kwenye Fiesta 2010. Jana JK aliwaalika Ikulu Ndogo ya Chamwino na kupata nao dina la mchana JK akisalimiana na Chegge JK akisalimiana na Fid Q JK na Cpwaa JK na Mh. Temba JK akipeana mikono na Dully Sykes JK na Mwanafalsafa JK na Barnaba wa THT JK na wasanii JK akisalimiana na Fellah, kiongozi wa Wanaume TMK JK na mwamba wa Kaskazini Joe Makini JK na KR wa TMK Wanaume JK akisalimiana na Marlaw JK akisalimiana na msanii wa THT Mama Salma Kikwete akimsalimu Marlaw Mama Salma Kikwete akisalimia wasanii Ni wakati wa maakuli
No comments:
Post a Comment