Saturday, 8 May 2010

ZHONG HUA GARDEN IJUMAA.......MAY 7, 2010

Kulia ni Bw.Julius alikuwa anasherehekea birthday kutimiza miaka kadhaa kushoto ni mke wake na ktikati ni mtu mrefu Hasheem Thabit



Watu na Matukio

Mdimu na rafiki

Zawadi ya saa toka kwa Mdimu ( thanks bro)


Machozi Band jukwaani..........nguo yangu niliovaa siku ya ijumaa ni zawadi toka kwa Esther Ulaya, asante sana mpendwa kwa kunikumbuka huko safarini ulikoenda.
Niliona nisikicheleweshe kiwalo nikiwashe tu mapemaaaaaaaa


Flowers

Lulu na Boni Mapenzi

More Flowers


Tamati

No comments:

Post a Comment