Kai na rafiki yake walikuja kuendeleza kushangilia ushindi wa Man U wa jumatano, asanteni kwa zawadi.
Kumbe nimekuwa Teeeeeeeeeeja, ndio inakuwaga hivi kwa wale ambao hamjawahi kufika, mateja wa Machozi Band huwa hawakai chini ikipigwa hiyo, viti vinakuwa vya moootooo
shagwe na watu wa ukweli kila thursday machozi live......
No comments:
Post a Comment