PRODUCER LUCCI AMEOKOKA
producer lucci ameamua kuachana na mambo ya dunia na kumrudia mungu aka ameokoka na hiyo sio sababu ya mimi kutokutengeneza beats nitaendelea kutengeneza beats lakini nimpaka nihakikishe msanii atakaeitumia beat hiyo haingizi mashairi yenye mambo ya ajabu, na kama itakua ndio hivyo basi nitamrudishia chada zake na beat yangu nitaichukua. amesema lucci.

No comments:
Post a Comment