

Lile shindano maarufu bongo limerudi tena na usahili umeshaanza katika mikoa ya MWANZA, SHINYANGA na TABORA. Niliongea na Masood Kipanya mda mfupi uliopita na akaniambia Kesho Jumamosi tarehe 15 wanaelekea MTWARA, kwahiyo wakazi wa Mtwara wajitokeze kwa wingi ili kuwapata wale watakaostahili kuingia kwenye kijiji cha MAISHA PLUS.
No comments:
Post a Comment