SIKUTENGEMEA
Sikutegemea hili kutoka kwa loveness love kwanza kama mwanamke alie pata mafanikio kwa muda mfupi bila ya mkato wa haina yeyote. pili kama mfanyakazi wa kampuni kubwa ya clouds media group . 3 mwanalibenenga mwezetu. Ananishangaza kujiita msomi na kua anaji heshimu nakuheshimu wazazi wake kwa haya aliyo yasema.
kwanza anaanza nakujifanya anaifahamu sheria , ambayo yeye mwenyewe anaivunja mda mfupi baadae . Huwezi ituhumu 'jamii forum' kwani ye mwanyewe anajua setting zina wingo mkubwa na kila blog inahitaji soko . so the thing is that she should understand that been a celeb u gat to take it all n if you can't stay back home. Loveness my sister who do u think you can sue and where do you thing you will get the money to if not from what they say cause from what i know from the law you are refering to you have to take to court google itself to as a blogger host , management ya jamiii forum na watuwalio kudis na hawa kwa pamoja hauto waweza.
Pili siku tengemea ungetukana adharani matusi makubwa ivyo tena kwenye mtandao (youtube ) ambao hata watoto wanaweza ingia. Siajambu kua atakufanya wanayo sema adharani unaweza from what you protrait to me you are capable of on that video . If you have friends and family that get to media such as this (youtube) what do you thinl they will thing of you when they gat to hear what you were saying in this video . kuonyesha zaidi utovu wako wa nidhamu umehaidi kutukana watu on facebook kwani hata wewe ni binadamu . nani alikwambia binadamu aliumbwa kutukana?
Learn how to use youtube next time cause you are 'loosing you mind slowly'. and most of all you are making those poeple proud of what they did. i ussually say 'if they don touch you the would not affect you. only if they do that when you have to fight back arm by arm with benefit'.
No comments:
Post a Comment