Sunday, 9 January 2011

Uzinduzi wa wireless Headphones za 50cent

 

Juzi Teentz iliwapa ishu ya headphones mpya za 50cent zinazoitwa Sleek by 50cent…, Sasa headphones hizo zimezinduliwa rasmi jana kwenye mkutano 50 aliofanya na waandishi wa habari akiwa na Team nzima ya kampuni yake mpya pamoja na kuzielezea kiundani zaidi akizilinganisha na zile za Beats by Dre.. kwa kusema kuwa zake ni Platinum na zimekuja na teknologia mpya ya signal inayoitwa KLEAR.. ambayo badae itatumika kwenye simu kama vile ilivyo Bluetooth

No comments:

Post a Comment