Friday, 14 January 2011

THE MAKING OF NITAREJEA "DIAMOND PLATNUMZ"

 
"Ukiona kiza kinazidi sana ujue karibu kunapambazuka" na sasa kumekucha!.. huu ni mzigo ambo mamilion ya watu ulimwenguni wameusubiria saana "NITAREJEA" na sasa Video iko tayari, stay tuned MziGo unadondoka soon...! 
Video imetengenezwa na Visual Lab Next Level chini ya Producer Adamu Juma.

No comments:

Post a Comment