Wanafunzi wakijadiliana baada ya kuzuiwa na askari Wa kutuliza Ghasia {FFU}
Wanafunzi wa Chuo Cha Sayansi Ya Jamii Na Lugha Katika Chuo Kikuu Cha Dodoma Wakiandamana Kuelekea ofisini Kwa waziri Mkuu Mjini Dodoma jana Asubuhi
Askari Wa Kutuliza Ghasia Wakiwa Wamejiandaa Kuwazuia Wanafunzi Kuelekea Mjini dodoma Kwenye Ofisi ya Waziri Mkuu.
Mshauri wa Wanafunzi Wa Chuo Kikuu Cha Dodoma Mr Manongi Akiteta Jambo na Mkuu Wa Wilaya Ya Bahi ambae amekaimu Ukuu Wa Wilaya ya Dodoma Mjini Betty Mkwasa wakati Wa Mgomo Wa Wanafunzi Wa Chuo Kikuu Cha Dodoma
No comments:
Post a Comment