Thursday, 9 December 2010

LEO NI SIKU YA UHURU - Flashback: Mashujaa wa Uhuru wa Tanganyika

Mwalimu Julius Kambarage Nyerere na bango
la 'Uhuru Kamili' Tisa Desemba, 1961
Meja Alexander Gwebe Nyirenda akifikisha mwenge wa Uhuru kwenye kilele cha Mlima Kilimanjaro usiku wa kuamkia siku ya Uhuru ili umulike nje ya mipaka yote, uleteeeee tumaini. Meja Alexander Gwebe Nyirenda na mwenye
wa Uhuru alioupandisha Kilimanjaro.
Afande huyu ni mmoja wa mashujaa wa
Uhuru wasioimbwa (Unsung Heroes)

Mwalimu Julius Nyerere na Meja Nyirenda
wakati wa mnuso wa siku ya Uhuru.

No comments:

Post a Comment