Prezidaa wa Uganda,Yoweri Museveni aka M7 amechaguliwa kuingia kwenye tuzo za muziki za Uganda ziitwazo Golden Music Awards 2010,kupitia Single yake inayobamba ile mbaya kwa sasa ya You Want Another Rap. Track imo kwenye category ya Best Hip Hop single na atashindana na wasanii wa Hip-Hop,Navio na GNL-Zamba na tuzo zinafanyika Munyonyo-Uganda,tarehe 17 December 2010
No comments:
Post a Comment