Thursday, 18 November 2010

kiota kipya cha maraha coco beach jijini dar

Kiota hiki kinaitwa Star Coco Club kilichopo katika mgahawa wa Coco Beach Oysterbay jijini Dar. Mkurugenzi Mkuu wa kiota hicho Bw. Alphonce Buhatwa anasema wadau wameitikia mwito kwa kufurika hapo kila siku kwa maraha yasiyo kelele wala mikwaruzo. Kwa habari zaidi piga:
+255 784 282 658
sehemu ya libeneke na vilaji
ni sehemu tulivu na ya kuvutia
kipupwe na muziki pamoja na disco lights za kisasa..

No comments:

Post a Comment