Monday, 18 October 2010


# 1 Eminem
Ameuza records nyingi kuliko wote katika list. sio kwamba tu anakubalika kwa mafanikio yake katika mauzo bali anaheshimika sana kwa ma skills yakutosha

# 2 Lil Wayne

Huyu ni rock star. young money millionea ameonesha kukua sana karne hii ya 21

# 3 Kanye West

rapper / producer aliefanikiwa sana yaani ni zaidi ya rappa lakini levo za rap game yake zimepanda tangu alipotoa single yake ya kwanza

# 4 50 Cent

chini ya miaka 10, ameweza kuachia album 4, tatu zikiwa zimefikia platnum mpaka mult platnum. na amekua akitoa hit baada ya hit.

# 5 T.I.

ATL-native anaweza kuwa  controversial katika matendo yake lakini ikija kwenye kurap MC huyu got the South on lock

# 6 Ludacris
Nivigum sana kuongelea karne hii ya 21 bila kumuongelea Ludacris. The Atlanta-based rapper haina ubishi amesemekana kuwa mstari wa mbele ikifika kwenye quality ya mziki wake

# 7 Drake
Aubrey "Drake" Graham ameweza kushinda mioyo ya mashabikki na wapenda hip hop mwaka uliopita. baada ya kuachia album yake ya kwanza "Thank Me Later," Drake ameonyesha kuwa ni mmoja kati ya wale wanaoogopeka

# 8 Young Jeezy

Young Jeezy bumps in every whip, from the North to the South. MC huyu kutoka South anaheshimika kwa u hardcore na tungo za ki mtaa zaidi

# 9 Jadakiss

Jadakiss amekuwa akifurahiwa siku zote kwa  his complex rhymes na maana iliyo nyuma ya tungo hizo.

# 10 Officer Rick Ross

Rick Ross bossed up the game karne ya  2. ni mmoja kati ya marapa wachache walipsavaiv mashambulizi ya 50 cent kwa kuendelea kuachia madude hatari
So there you have it. unaionaje list hii? nani asingewekwa hapo? na nai angefaa nafasi flani?  

No comments:

Post a Comment