Sunday, 18 July 2010

Fiesta 2010 jipanguseeee Idodomia.......MichuziJR N Jax collection C.E.O wadau wa blogger.com
Mausafiri ya nguvu kama haya yalikuwemo ndani ya tamasha la Fiesta lililofanyika jana jioni ndani ya uwanja wa Jamhuri Dodoma,ambapo wakazi wake walijitokeza kwa wingi na kuikubali vilivyo kauli mbiu mpya ya tamasha hilo iitwayo Jipanguse rrrrhhhaaaa.! Mdhamin mkuu wa tamasha hilo ni kampuni ya bia ya Serengeti a.k.a mfalme wa raha kamili inayodumu zaidi.
Msanii anaekuja kwa kasi katika anga ya muziki wa bongofleva pichani kushoto,Mwasiti akiwa amepozi na mtangazaji wa Clouds FM/TV Zamaradi Mketema ndani ya uwanja wa jamhuri wakati wa tamasha la Fiesta Jipanguse 2010 lilipokuwa likiendelea.
Wwaaaooooo..! Fiesta Jipanguse 2010 imefanikiwa kuwakutanisha hata waliopoteana kwa muda kama hivi uonavyo pichani.Yaaani ffreeeeeessssshhhhhiii.
Watangazaji wa Clouds FM,kushoto ni Said Bonge a.k.a Bonge barabarani wa Power Breakfast pamoja na Dea Habib Mama wa Heka heka kwenye kipindi cha Leo Tena.
Stori zimenoga.!shoto ni Zamaradi Mketema,Gea Habia pamoja na Shadee wa clouds TV.
Wasanii kwa Pamoja..! Mh Themba na Chege kutoka kundi la Wanaume TMK pamoja na Kapeto.
Wafalme wa raha kamili wakiwa wamepozi katika picha ya pamoja.


Wadhamini wakuu wa tamasha la Fiesta wakiwa wamepozi na wasanii wa muziki wa kizazi kipya,kushoto ni Meneja Uhusiano wa kampuni ya bia ya Serengeti Dada Teddy Mapunda,Meneja wa kinywaji cha Serengeti Dada Nandi,Mwasiti pamoja na Barnaba kutoka THT.

Msanii nyota wa kizazi kipya kutoka THT,Barnaba akiwa amepozi na washabiki wake katika picha pamoja ya ukumbusho.
Msanii mkongwe wa muziki wa kizazi kipya kutoka kundi la TMK Wanaume Halisi Juma Nature akiwa na kundi lake wakilishambulia jukwaa vilivyo mbele ya umati mkubwa wa wakazi wa mji wa Dodoma waliojitokeza kwenye tamasha la Fiesta Jirambe 2010.
Msanii wa kazazi kipya Hussein Machozi akionesha umahiri wake wa kulitawala jukwaa usiku huu ndani ya tamasha la Fiesta Jirambe 2010,ambaye mdhamini mkuu ni kamouni ya bia ya Serengeti a.k.a Mfalme wa raha kamili inayodumu zaidi.
Mkali mwingine wa hip hop Joe Makini na mwenzake wakikamua vilivyo jukwaani huku mayowe na miluzi ikiwa imetawala uwanjani hapo jioni ya leo .
sehemu ya umati wa watu ndani ya uwanja wa Jamhuri leo tamashani.
Ulinzi na usalama kwa wananchi waliofika uwanjani hapo ulikuwa ni wa uhakika kama uonavyo pichani
Msanii mahiri wa muziki wa bongofleva Diamond akiimba kwa hisia mbele ya umati wa watu jioni ya leo ndani ya tamasha la fiesta jipanguse 2010.
Diamond na skwadi lake wakiwa katika miondoko ya kipekee kabisa iliowavutia wapenzi na washabiki uwanjani hapo.
Wasanii kutoka Tip Top Conections wakilishambilia jukwaa kwa pamoja jioni ya leo .
Wakazi wa mji wa Idodomya wamejitokeza kwa wingi kwenye tamasha la Fiesta Jipanguse 2010 jioni ya leo, huku mdhamini mkuu wa tamasha hilo ikiwa ni kampuni ya bia ya Serengeti.
Msanii wa kundi la Offside trick akimcheza mshabiki wake jukwaani
Mkurungenzi wa mtendaji wa kampuni ya Clouds Entertainment, Bw. Joseph Kusaga akimuelekeza jambo na mratibu wa wasanii kwenye tamasha la Fiesta Jipanguse 2010 B. Dozen ambaye pia ni mtangazaji mahiri wa kipindi cha XXL-Clouds FM.
Ilikuwa ni full kujipangusa bin rrrrhhhhhhhaaaa
Haya Jipanguseni wakazi wa Dodoma....rrrrrhhhhhhhaaaa..!


Shoto ni msanii mwingine anaekuja kwa kazi katika anga ya hip hop hapa Dizim aitwaye Roma (kulia) akikamua vilivyo mbele ya wakazi wa Dodoma waliojotokeza kwa wingi uwanjani hapo.
Wadhamini wakuu wa tamsha la Fiesta jipanguse 2010,Kampuni ya bia ya Serengeti wakijiachia kwa namna yake mara baada ya kuvutiwa na makamuzi ya mmoja wa wasanii jioni ya leo.
Msanii kutoka THT atambulikae kwa jina la Mataluma akijituma vilivyo jukwaani
Kutoka kushoto ni Meneja Mauzo Bw. Sushen,Meneja Uhusiano Dada Teddy Mapunda,Meneja wa kinywaji cha Serengeti Dada Nandi,Meneja Matukio Bw.Bahati Sigh pamoja na mfanyakazi mwingine wa kampuni ya bia ya Serengeti wakiwa wamepozi kwa pamoja leo jioni kwenye tamasha la Fiesta Jipanguse 2010 ndani ya uwanja wa Jamhuri Dodoma.

Msanii wa kizazi kipya Mwasiti akiwaimbia mkasa wa 'kisa pombe' wakazi wa dom na vitongoji vyake
Yani full
Msanii wa kizazi kipya Belle 9 akionyesha umahiri wake wa kuimba
Belle 9 akiwaimbisha wakazi wa Dom, ehe! ehe! ehe! Jipanguse, Jipanguse rrrrrhhhhaa
Umati wa watu waliohudhuria tamasha la Fiesta Jipanguse 2010 ndani ya uwanja wa Jamhuri Dodoma ambapo baada ya Dodoma shangwe zote zinahamia ndani ya mji wa Tanga wiki ijayo hivyo wakati wa humo na vitongoji vyake kaeni mkao wa kula Fiesta Jipanguse 2010.


ALUMASI NAYE!
KIROBOTOO
C.E.O ,CUTE N THE QUEEN
weee ngoja bhana hatuja funga zipB12 , Zamaradi pale kati, JAX general n Mwasitiakwi nae amejkuja kujipangusa freeesh
Lamar nae kwa michezo yakitoto
C.E.O NA RUGE ON SCENE
THE BOSS JOSEPH IN THE BUILDING

KWA GADAFFI MJINI DODOMAWAZEE WAKIWANASA MACHIZI WALIOKUA WAKILA CHA ARUSHA
SINDIO HAO BHANA
USIJE MJINI
KWA MWAKASENGE KULE
TICKET TWAZITAKA BHANA


GAPCO MDHAMINI MKUU WA SAFARI ZA BARABARANINANYI BHANA HADI BUKU 2 HAMNA
KWA MWAKASENGE MAANDALIZINI
KUTANA NA CHUI
paka pakucheee

No comments:

Post a Comment