Saturday, 19 June 2010

Juzi kati nilitoa habari ya Hasheem Thabeet na picha, sasa kumbe zile picha ni zazamani akiwa College, sasa akanitext na kuniambia na nicheki mail yangu kanitumia picha za sasa hivi akiwa MEMPHIS GRIZZLIES.

No comments:

Post a Comment