Sunday, 6 June 2010

Hassan na Lazaro waipeperusha Bendera ya Tanzania Vyema Nchini Australia!!!

Hawa ni watanzania wanaoitangaza Tanzania katika sanaa waifanyayo,mchezo huu unaitwa CONTORTION Hassan na Razaro kwa pamoja wakijiita PLASTIC BOYS,wakiwa nchini Australia na kampuni yao ya Mother Africa yenye maskani yake nchini Ujeruman.

Hassan pamoja na Lazaro wakiwa kazini.

Je wewe unayaweza haya?

No comments:

Post a Comment