Sunday, 4 April 2010

WATOTO WA SIKU HIZI NA HUYU NAE ANAFURAHIA TU ..

Eti Kibao kata hadi kwa watoto Bi Mwajuma??aaah sio hivyo bwana hatwendi hivoo hata Robo.. babu yangu huwa unasema wee mwana unambwani??yaani wee mtoto una nini??huoni soni?usekutenda hivyo bwana n mwiko..yaani hivi Tanga Oyee(huoni aibu usifanye hivyo bwana haitakiwi kimila na desturi)
huyu ni mtoto usimpelekee makalio yako hivyo bwana....why r u doin that for godsake !!
dogo nae anafurahi tu kisa kapelekewa ntakuchapa wewe..
hivi guys??hii ni sawa kweli Honestly Speakin !!

No comments:

Post a Comment