
Safari yetu yakwenda kwenye show ya
SEREBUKA ilikuwa hivi, na huyo anayeendesha gari anaitwa Adamu Mchomvu ndie MC wa show hiyo ya Serebuka inayorekodiwa pale
Club Billicans na huonyeshwa siku ya Jumapili
TBC1. Mshindi katika show hii ataondoka na shil mil
25 fedha taslim zakitanzania.

Hili ni eneo la Posta mpya linavyoonekana majira ya saa 9 alasiri, inapofika saa 10 au 11 jioni panakuwa patamu hapa kwa foleni ya magari.

Mtu mzima akiwa tayari kwa kulisongesha gurudumu la maendeleo na akiwa ametupia suti yake mbaratataaaaaa kabisa wala hajakodisha duka lolote.

Yoh man it's time for show....are you read!!!!!

Majaji wa show hii ya Serebuka nhawa hapa, kuanzia kushoto ni Braza Masoud Masoud, mwanadada Joan na baba yake Banana Zorro (
Ally Zahir Zorro)

Kundi la kwanza ni Bad Spensa na Angeris


Kundi la pili: Hemed na Pili


Kundi la tatu: Eyan na Nikita


Kundi la Nne: Kisoky na Horinata


Kundi la Tano: Baucha na Jini Kabula.


Kundi la sita: Ko Jack na Moreen


Kundi la saba: Yusuph na Mwasiti.


Kundi la Nane: Mo love na Witnesz


Kundi la tisa: Chege na Pili.
Jumapili ya kesho kutwa kundi moja litatolewa kwahiyo tizama show hii ili ujue kundi gani limetoka na hadi mwisho kundi gani litachukua mil 25.


Hawa watoto niliwakuta juu wakicheza Twist, eti wanawaigiza wazazi wao wakicheza.

Washiriki wote waliitwa na kufunga show kwa pamoja.

Dada Rehema, Hemed na Adamu Mchomvu ambaye ndio MC wa kipindi hichi cha Serebuka.

Mtu mzima Chege akiwa tayari kabisa kwa show

Yusuph mcheza filamu mzuri tu kwa hapa kwetu Bongo

Braza Kisoki mcheza Kikapu mkali

Baucha na Producer Manyeko

Angeris na Bad Spensa

Yusuph akiandaliwa kwa muonekeno wa kizamani zamani

Hemed nae pia akibadilisha taswira yake ili ionekane yakizamani zamani

Mtu mzima Chege mara akabadilika na kuvalia mavazi yakizamani ya mwaka 47

Baucha nae hakuwa nyuma

Ko Jack na Chege

Hahhaa daah, Witnesz na Chege

Yusuph, Ko Jack, Baucha na Chege

Haya nao wakina nani sasa...wanamuomba mungu waweze kushinda hizo mil 25 katika mchezo huo wa Serebuka

Braza Frank Mtao akiwa na rafiki zake, yeye hapa ndio anayeweza kuona picha zote zinazoendelea kule mbele ambako wako washika camera wake.
No comments:
Post a Comment