Wednesday, 24 February 2010

NEW TRACK KUTOKA KWA MWANA FA 'USIJE MJINI'

Masaa matano yaliyopita Mwana FA katika Status yake ya Facebook aliandika hivi
"in the building,B-Hits...recording 'usije mjini'..with AY,Hermy,Pancho,Amani and Alan....sounds so beautiful already!!..naona tumepata first single hatimaye..lol!"
So nadhani unajua anachomaanisha ni nini hata me nahamu yakusikia huu wimbo mpya wa braza 4 anaza maza BINAMU.

No comments:

Post a Comment