Sunday, 14 February 2010

HATUJALI HATA KAMA BEBE COOL AKIFA


wasanii wa uganda radio na wisle wamewaacha watu midomo wazi baada ya kusema kuwa HAWAJALI HATA KAMA bebe cool akifa, wakati wasanii wengine wakiwemo maadui zake kina bobi wine na mega dee wameungana chini ya UGANDA MUSICIAN FEDERATION, mwamvuli unaowagovern wanamuziki wa uganda kuonyesha saport kwa bebe cool amabae alipigwa risasi weekend iliyopita CENTENARY park.

No comments:

Post a Comment