Wednesday, 24 February 2010

AY KUPIGA COLLABLE NA J MARTIN


ay anataraji kuelekea nchini nigeria ready kupiga collable na mtu mzima j martini mzee wa oyoyoo. ay amesema kazi nzima kuanzia beat, vocal mpaka mixing zitafanyika huko huko ila hermy b pia atachangia kidoooogo kama ikiwezekana. habari ndio hiyo

No comments:

Post a Comment