Saturday, 26 December 2009

MREFU NA MFUPI KULIKO WOTE DUNIANI


mtu mrefu kuliko wooote duniani akisalimiana na mtu mfupi kuliko wote


“Bao Xishun,ameandikwa katika kitabu cha record za dunia kama ndio mtu mrefu kuliko wote wanaoishi duniani akiwa na 7ft na inchi 8.pichani yuko na mkewe xia shujuan

No comments:

Post a Comment