MTANDAO WA KISASA WA KUUZA MAGArI WAANZISHWA NCHINI

Mtandao huu hauna gharama kutumia,mtu yoyote mwenye gari lake na anataka kuliuza,anatakiwa kujisajili bila gharama yoyote,na baada ya hapo utaweza kutuma tangazo lako,kama kuna ugumu wowote wa kutumia mtandao huu basi usisite kuwasiliana na wahusika na kuwaeleza shida yako.Sisi tumeamua kuwatumikia Watanzania kwa namna hii. gonga hapa kuingia.
No comments:
Post a Comment