Kama unavyoona pichani,mwanamuziki wa rnb nchini Marekani,Mariah Carey akiwa anapeform ‘Obssesed’ kwa nguvu zote huku habari zikiwa zimetapakaa kuwa mwanadada huyu ni mjamzito wa miezi kadhaa.
Je ni kweli au kaongezeka tu?
No comments:
Post a Comment