magic of tanzania show
Mkuu heshima yako nilikupata bhati ya kwenda huko toeldo ohio kulikofanyika show ya kwanza ya ile MAGIC OF TANZANIA SHOW ,ambao Mbunifu FATMA AMOUR alipata kuonyesha mavazi ake aliobubuni katika show ile.
nimekutumia baadhi tu ya picha hizo wadaua wakitaka kujua zaidi show hiyo ilikuwake kwa picha waende www.misolosho.blogspot.com
ahsanteni
haji boston.
No comments:
Post a Comment