
ugonjwa wa mafua ya nguruwe umeshaingia tanzania rasmi,wanafumzi watatu katika shule inayoitwa dar-es-salaam independent ilioko hapa dar wamegundulika kuwa ugonjwa huo na wameshafikishwa hospita na wawili wameruhusiwa huku mmoja akiendelea kupata matibabu.katibu mkuu wa afya na ustawi wa jamii BRANDINA NYOMI amekubali kupokea kwa taarifa hizo.
No comments:
Post a Comment