GAL IS DOING IT TO THE FULLEST!!!



Mtanzania anaetuwakilisha ndani ya jumba la big brother 2009 elizabeth ameendelea kushikilia nafasi ya pili kwa kupata kura nyingi zinazoendelea kupitia www.bigbrotherafrica.com. katika categorys nyingi nyingi na kura ni m
oja tu inayopigwa ndani ya saa moja.
Favourite housemate so far ( Week 5, 11/10/09 ) | |||||||||||||||||||||||||||||
|
anapoelekea ni kuzuri watanzania tutoe sapot za kutosha tembelea web hiyo tuendee kuipepea bendera yetu.
VOTE @ ELIZABERT
No comments:
Post a Comment