WELCOME AT JAX COLLECTION
Pages
Home
EXCULSIVE VIDEOS
TECHNO HOUSE
EVENTS GALLARY
SOCCER CITY
EVENTS (Posters and Adverts)
Saturday, 5 September 2009
baada ya nazeeka sasa,waamua kuibuka na dunia yako
Wanamuziki wakali wa miondoko ya Hip-Hop hapa Bongo, Mr II a.k.a Sugu na Mwana FA wakiwa ndani ya S&S Studio in Brooklyn - New York,Marekani wakirekodi track yao mpya 'Dunia Yako' itakayokuwa kwenye album ya VETO....,hivyo kwa wale wapenzi wa muziki wa kizazi kipya a.k.a bongofleva mkae mkao wa kula baada ya kuisuuzwa vyema na ile singo yao ya kwanza iliyoitwa
Nazeeka sasa
.
No comments:
Post a Comment
Newer Post
Older Post
Home
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment