
NOT TO SAY FASHION
Labda mimi mshamba na napitwa na wakati coz am old fashioned and huwa sijali sana kuhusiana na mavazi..Lakini hii niliona wachache tena wakiwa wet n wild pale katika XXL back 2 skul Bash..ila jamani msivae mtaani,kama Fashion hii imeingia usiige..Maana-KIROJA..Wewe unaonaje??Inafaa??
No comments:
Post a Comment