
katika jiwe la wiki leo b12 na sumalee ameskika akisema kuwa yeye haimbi tena bongo fleva na wala sio mbana pua na kama kuna yeyote anaetaka ushindani na aiingie anga zangu.alipoulizwa kuhusu kufanya kazi na cp alisema yeye yuko tayari lakini kuna watu ambao wanasababisha wasiweze kufanya kazi pamoja na mtu huyo ni producer wa cp ambae yeye hamfil na wala hamfagilii hata kidogo. lakini tunasema fumbo mfumbie mjinga ...................hapo majani anahusika kwa asilimia 100 maana ndie producer wa bongo rec. habari ndio hiyo
No comments:
Post a Comment