Friday, 19 June 2009

















Msanii Ferooz juzi jumapili alikuwa anakamilisha video yake ya Rusha kila kipindi akiwa amemshirikisha Prince Dully Sykes, ndani ya video hiyo utakutana na mastar wengi wakibongo. Video imetengenezwa na Visul Lab Next Level.

No comments:

Post a Comment