LEO NI SIKU YA UHURU - Flashback: Mashujaa wa Uhuru wa Tanganyika
Mwalimu Julius Kambarage Nyerere na bango la 'Uhuru Kamili' Tisa Desemba, 1961
Meja Alexander Gwebe Nyirenda akifikisha mwenge wa Uhuru kwenye kilele cha Mlima Kilimanjaro usiku wa kuamkia siku ya Uhuru ili umulike nje ya mipaka yote, uleteeeee tumaini.
Meja Alexander Gwebe Nyirenda na mwenye wa Uhuru alioupandisha Kilimanjaro.
Afande huyu ni mmoja wa mashujaa wa
Uhuru wasioimbwa (Unsung Heroes)
Mwalimu Julius Nyerere na Meja Nyirenda wakati wa mnuso wa siku ya Uhuru.
No comments:
Post a Comment