Tuesday, 19 October 2010

EXCLUSIVE ABOUT MWASITI KUTOKA THT PEOPLE..

https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhLHwg8ASaEMXmu7bbdAppkDsHPvj9egtxUpPWfDlW-qBt-0YDP3Y5GbWICbiJL2B5_EYC1m6ty4uVHVezEvqk080z_y54bJv5UPa5dbEOthvePDJJUcnQpMW9a-I8Y2qgSKyE74hPKfTBm/s400/mwa.JPG
Mwanamuziki mwasiti kutoka THT Kama ulikuwa hujui yeye hapendi kabisaa kwenda club..
was jus in the club last week and we were takin naps and mwasiti aligoma kabisa kupiga picha akidai yeye hapendi kwenda club na kupiga kwake picha eneo hilo kutamsababishia yeye apewe talaka..
sijaelewa vizuri kuhusu suala la yeye kupewa talaka,was asking myself ,Hivi mwasiti ana mume au??
maana talaka huja ukiwa umeolewa ati,LOL,mwasiti ana nyimbo mpya ya sio kisa pombe original ambayo tayari iko ktk MVP Ya alaz za roho the biggest season CLOUDS FM Number 4.
By the way was surpriesed na ELIZA AU LULU Ambaye yeye ni Actress yeye bila aibu tena kaiwa na furaha kubwa alijibu ya kuwa yeye ameanza kwenda club toka akiwa darasa la tano na alikuwa akienda na rafiki yake ambaye ki umri alikuwa mkubwa kuliko yeye,na club hiyo ni BILICANAS Ila sehemu kama maisha ameingia mara mbili tuu katika maisha yake na kingine kuhusiana na yeye ameshaingia club kibao hapa Tanzania..yaani sijui club gani umtajie awe hajaingia..
Lmfao...having time with them imenifanya ni have fun sana coz we jus talked and stuff and it was Great!!
luv u gals...

No comments:

Post a Comment