Mke wa aliyewahi kuwa rapa wa Diplomat na mtangazaji wa kituo cha EATV nchini Saigon afariki dunia hapa jijini juzi,saigoni alifunga ndoa na mkeo huyo mwezi mmoja uliopita mkoani Iringa.habari za ndani zaidi juu ya kifo chakesijafanikiwa kuzipata mapema ila Msiba unafanyika Mkoani Iringa..Pole sana Saigon
No comments:
Post a Comment